Academic

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2024/2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health ) – TTCIH kilichopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa Chuo kinapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2024/225  kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Optometria (Diploma in Optometry) – Miaka Mitatu Stashahada ya Utabibu […]
Read more

Maadhimisho ya Kitaifa Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 – POPATLAL Tanga

TTCIH tumepata fursa ya kushiriki katika MAADHIMISHO YA KITAIFA ELIMU, UJUZI na UBUNIFU 2024  ambayo yanafanyika katika viwanja vya POPATLAL  Mkoani Tanga kwanzia tarehe 25/05/2024 hadi tarehe 31/05/2024. Tafadhali tembelea banda letu ili kuweza kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujionea Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa National eLearning Platform for Health (www.elearning.moh.go.tz) ambao […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2023/2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health ) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa DIRISHA LA UDAHILI lipo wazi kwa  kozi zifuatazo  kwa mwaka wa masomo 2023/2024. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo; 1. Stashahada ya Utabibu (Diploma in Clinical Medicine) – Miaka […]
Read more

Vacancy Announcement

Job SummaryPosition           :  Accountant Officer (1 post)Report to         :  Finance and Administration ManagerWorkstation    :  IfakaraApply By          :  25th February 2022 Institution Overview The Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) is a Health Training Institution established in 2006 under the public-private partnership agreement […]
Read more

Invitation for Pre-Qualification of Supply of Goods

The Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) is a health training institution. established under a Public Private Partnership (PPP) Between the Ministry of Health (MoH), the Novartis Foundation and the Swiss Tropical and Public Health Institute. The TTCIH aims at supporting the Tanzanian government’s national health reform policy for strengthening human resource development, through […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2022/2023

Udahili Mwaka wa Masomo 2022/23 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health, (TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2022/2023. TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTVET kwa namba HAS/003, Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo Stashahada ya […]
Read more