Maadhimisho ya Kitaifa Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 – POPATLAL Tanga

TTCIH tumepata fursa ya kushiriki katika MAADHIMISHO YA KITAIFA ELIMU, UJUZI na UBUNIFU 2024  ambayo yanafanyika katika viwanja vya POPATLAL  Mkoani Tanga kwanzia tarehe 25/05/2024 hadi tarehe 31/05/2024. Tafadhali tembelea banda letu ili kuweza kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujionea Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa National eLearning Platform for Health (www.elearning.moh.go.tz) ambao unasimamiwa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na TTCIH.

Pia tunapenda kuwakumbusha kwamba dirisha la maombi ya kujiunga na chuo kwa Mwaka wa masomo 2024/2025 litafunguliwa baada ya mfumo wa CAS kuwa tayari kupokea maombi, tafadhali tembelea banda letu kujaza fomu za maombi kwa kozi ya:

1. Diploma in Clinical Medicine – 3 years
2. Diploma in Pharmaceutical Sciences – 3 years
3. Diploma in Optometry – 3 years

Kwa msaada na maelekezo zaidi piga simu namba zifuatazo +255718 36 53 74, +255758 943 044, +255 710 527 003

“KARIBU TTCIH IFAKARA KWA MAFUNZO YENYE KUJENGEA WAHITIMU UWEZO KUTOA TIBA KWA KUTUMIA TAFITI YAANI EVIDENCE BASED MEDICINE”

Rephrase with Ginger (Ctrl+Alt+E)
Share:
Previous Post
Newer Post