News & Events

Stakeholder Meeting on National Guideline for Clinical Placement of Health and Allied Students

The Tanzania Training Centre for International Health (TTCIH), in collaboration with the United Nations Population Fund (UNFPA), the Ministry of Health, the President’s Office Regional Administration and Local Government (PORALG), and the Pharmacy Council, organized a stakeholder meeting at the Protea Hotel in Dar es Salaam from October 9 to 11, 2024. This three-day workshop […]
Read more

Matokeo ya Udahili Dirisha la Awamu ya 1, 2, 3, 4 & 5

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa majibu ya DIRISHA LA AWAMU YA KWANZA, PILI, TATU & NNE yametoka tafdhali bofya kiunganishi hapo chini kuweza kuangali majibu ya maombi kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa […]
Read more

Matokeo ya Udahili Dirisha la Awamu ya Kwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa majibu ya DIRISHA LA AWAMU YA KWANZA yametoka tafdhali bofya kiunganishi hapo chini kuweza kuangali majibu ya maombi kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2024/25. Pia tunapenda […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2024/2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Chuo cha Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health ) – TTCIH kilichopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa Chuo kinapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2024/225  kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Optometria (Diploma in Optometry) – Miaka Mitatu Stashahada ya Utabibu […]
Read more

Consultancy for Documentation of Tanzania’s Success in Reduction of Maternal Mortality

Background  Improving women’s health and reducing morbidity and mortality remains the global agenda as it is stipulated by the United Nations (UN) Sustainable Development Goals (SDGs 2030). The UN team including UNFPA, envisions a world where every pregnancy is wanted, every childbirth is safe and every young person’s potential is fulfilled with the goal of […]
Read more

Maadhimisho ya Kitaifa Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 – POPATLAL Tanga

TTCIH tumepata fursa ya kushiriki katika MAADHIMISHO YA KITAIFA ELIMU, UJUZI na UBUNIFU 2024  ambayo yanafanyika katika viwanja vya POPATLAL  Mkoani Tanga kwanzia tarehe 25/05/2024 hadi tarehe 31/05/2024. Tafadhali tembelea banda letu ili kuweza kujionea na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo kujionea Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa National eLearning Platform for Health (www.elearning.moh.go.tz) ambao […]
Read more

Consultant to Conduct End-term Review of RMNCAH Strategic Plan 2018-2022

Type of Consultant : Consultant Contract Location : Zanzibar Unit : Integrated Reproductive and Child Health Programme + Nutrition (iRCHP+Nut) of the Ministry of Health, Zanzibar Department : Director Preventive Health Services and Health Education Country : United Republic of Tanzania (Zanzibar) Purpose The main purpose of this consultancy is to provide technical support to […]
Read more