Matokeo ya Udahili Dirisha la Awamu ya PILI kwa Mwaka wa Masomo 2023/24
Chuo cha Mafunzo ya Afya TTCIH – Ifakara kinapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba matokeo ya uchaguzi dirisha la awamu ya pili kwa mwaka wa masomo 2023/2024 yametoka rasmi leo tarehe 14/08/2023. Waombaji wote waliochaguliwa wanaweza kupakua maelekezo ya kujiunga na Chuo (Joining Instructions) kwenye viunganishi hapo chini kwa ajili ya kupata taarifa zaidi ; […]