Matokeo ya Udahili Dirisha la Awamu ya Kwanza

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa majibu ya DIRISHA LA AWAMU YA KWANZA yametoka tafdhali bofya kiunganishi hapo chini kuweza kuangali majibu ya maombi kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2024/25.

Pia tunapenda kuwajulisha  kwamba sasa tumefungua DIRISHA LA PILI la kupokea maombi ya kujiunga na CHUO mwisho wa kupokea maombi ni tarehe  10/08/2024.

Share:
Previous Post
Newer Post