Matokeo ya Udahili Dirisha la Awamu ya 1, 2, 3, 4 & 5

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro anawatangazia umma kwamba sasa majibu ya DIRISHA LA AWAMU YA KWANZA, PILI, TATU & NNE yametoka tafdhali bofya kiunganishi hapo chini kuweza kuangali majibu ya maombi kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2024/25.

Pia tunapenda kuwajulisha  kwamba sasa tumefungua DIRISHA LINGINE la kupokea maombi ya kujiunga na CHUO mwisho wa kupokea maombi ni tarehe  28/09/2024.

Share:
Previous Post
Newer Post