Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2026/27 kwa kozi zifuatazo;
- Stashahada ya Utabibu
- Stashahada ya Ufamasia
- Stashahada ya Optometria
TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003, Chuo kina mazingira tulivu na mazuri kwa kujifunza ikiwa pamoja na wakufunzi waliobobea katika fani za afya na tafiti, hospitali ya kujifunzia kwa vitendo, mtandao wa uhakika, na kutoa mafunzo kupitia Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa unaosimamiwa na Wizara ya Afya (National eLearning Platform for Health).




Stashahada ya Utabibu
| Course Item: | Description |
|---|---|
| Course Level | NTA Level 6 |
| Mode of Study | Full Time |
| Durations | 3 Years (6 Semesters) |
| Entry Qualifications | Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage years. |
| Course Fee | Local Fee:1,700,000/= |
| Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Stashahada ya Ufamasia
| Course Item: | Description |
|---|---|
| Course Level | NTA Level 6 |
| Mode of Study | Full Time |
| Durations | 3 Years (6 Semesters) |
| Entry Qualifications | Holder of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with minimum of five passes in Physics, Chemistry, Biology, Mathematics and English Language. |
| Course Fee | Local Fee:1,200,000/= |
| Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Stashahada ya Optometria
| Course Item: | Description |
|---|---|
| Course Level | NTA Level 6 |
| Mode of Study | Full Time |
| Durations | 3 Years (6 Semesters) |
| Entry Qualifications | Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with At Least four (5) Passes in non-religious Subjects including Passes in Biology, Chemistry, Basic Mathematics, Physics/Engineering Sciences and English Language.. |
| Course Fee | Local Fee:1,400,000/= |
| Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Msaada Dawati la Udahili
Kwa kujaza fomu moja kwa moja Chuoni na maelekezo zaidi piga simu namba zifuatazo: 0718 552 164 & 0781,845 374, au tutumie barua pepe info@ttcih.ac.tz
Mwisho wa Kupokea Maombi
