Joining Instructions for Academic Year 2025/2026

Tangazo Muhimu kwa Wanafunzi  Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Mwaka wa Masomo 2025/26

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo Ifakara, Mkoani Morogoro, inapenda kuutaarifu umma kuwa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye dirisha la kwanza (AWAMU YA KWANZA) zimetoka. Waombaji wote waliochaguliwa wanashauriwa kupakua maelekezo hayo muhimu kulingana na kozi waliyochaguliwa.

Course Name Joining Instructions
Diploma in Optometry Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Diploma in Clinical Medicine Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Diploma in Pharmaceutical Sciences Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Medical examination Form Pakua Medical Examination Form hapa

Tafadhali fuata maelekezo yote yaliyotolewa kwenye barua hiyo ili kukamilisha mchakato wa uthibitisho wa kujiunga.Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi ya UDAHILI ya TTCIH.

Msaada Dawati la Udahili