Joining Instructions for Academic Year 2025/26
Tangazo Muhimu kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Mwaka wa Masomo 2025/26 Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo Ifakara, Mkoani Morogoro, inapenda kuutaarifu umma kuwa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye dirisha la kwanza (AWAMU YA KWANZA) zimetoka. Waombaji […]