Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili 2025/2026
Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2025/26 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu, Stashahada ya Ufamasia & Stashahada ya Optometria. TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. […]