Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2025/26 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu, Stashahada ya Ufamasia & Stashahada ya Optometria. TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo kina mazingira tulivu na mazuri kwa kujifunza ikiwa pamoja na wakufunzi waliobobea katika fani za afya na tafiti, hospitali ya kujifunzia kwa vitendo, mtandao wa uhakika, na kutoa mafunzo kupitia Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa unaosimamiwa na Wizara ya Afya (National eLearning Platform for Health).





Stashahada ya Utabibu
Course Item: | Description |
---|---|
Course Level | NTA Level 6 |
Mode of Study | Full Time |
Durations | 3 Years (6 Semesters) |
Entry Qualifications | Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including Chemistry, Biology and Physics/Engineering Sciences. A pass in Basic Mathematics and English Language is an added advantage years. |
Course Fee | Local Fee:1,700,000/= |
Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Stashahada ya Ufamasia
Course Item: | Description |
---|---|
Course Level | NTA Level 6 |
Mode of Study | Full Time |
Durations | 3 Years (6 Semesters) |
Entry Qualifications | Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with At Least four (4) Passes in non-religious Subjects including Chemistry and Biology. A Pass in Basic Mathematics and English Language Is An Added Advantage. |
Course Fee | Local Fee:1,200,000/= |
Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Stashahada ya Optometria
Course Item: | Description |
---|---|
Course Level | NTA Level 6 |
Mode of Study | Full Time |
Durations | 3 Years (6 Semesters) |
Entry Qualifications | Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with At Least five (5) Passes in non-religious Subjects including Passes in Chemistry, Biology, Basic Mathematics, English and Physics/Engineering Sciences. |
Course Fee | Local Fee:1,400,000/= |
Applications | All applications are ONLINE. Click Here to Apply. |
Msaada Dawati la Udahili
Kwa kujaza fomu moja kwa moja Chuoni na maelekezo zaidi piga simu namba zifuatazo: 0781,845374, 0718 552 164 au tutumie barua pepe info@ttcih.ac.tz
Mwisho wa Kupokea Maombi