Ziara ya Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha ATHENS – Ugiriki
Wataalamu wa afya kutoka Chuo Kikuu cha Athens – Ugiriki, wakiongozana na wenyeji wao kutoka Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) – Ifakara, leo tarehe 25 Agosti 2026, wametembelea Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mheshimiwa Wakili Dastan Kyobya. Ziara hiyo imelenga kujifunza na kuona kazi nzuri zinazofanywa na Serikali ya Jamhuri ya […]
Joining Instuctions 2026/2027
Tangazo Muhimu kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Mwaka wa Masomo 2026/27 Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo Ifakara, Mkoani Morogoro, inapenda kuutaarifu umma kuwa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye dirisha la kwanza (AWAMU YA KWANZA) zimetoka. Waombaji […]
Matokeo ya Udahili – Awamu ya Kwanza
Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Kwanza ya udahili yametoka. Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina […]




