Matokeo ya Udahili – Awamu ya Pili

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Pili ya udahili yametoka.

Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina kupitia viunganishi vilivyo hapa chini, kulingana na kozi walizoomba. Aidha, waombaji waliochaguliwa watapokea maelekezo ya kujiunga na chuo kupitia namba ya simu waliyotumia wakati wa kutuma maombi ya udahili.

Course Name Majina ya Waliochaguliwa
Diploma in Optometry Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa
Diploma in Clinical Medicine Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa
Diploma in Pharmaceutical Sciences Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa

Joining Instructions

Course Name Joining Instructions
Diploma in Optometry Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Diploma in Clinical Medicine Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Diploma in Pharmaceutical Sciences Pakua maelekezo ya kujiunga hapa
Medical examination Form Pakua Medical Examination Form hapa

Tafadhali fuata maelekezo yote yaliyotolewa kwenye barua hiyo ili kukamilisha mchakato wa uthibitisho wa kujiunga.Kwa maelezo zaidi, wasiliana na ofisi ya UDAHILI ya TTCIH.

Msaada Dawati la Udahili

Share:
Previous Post
Newer Post