Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili 2026/2027
Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2026/27 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu Stashahada ya Ufamasia Stashahada ya Optometria TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo […]


