TTCIH Imeshiriki Kwenye Maonesho ya Wiki ya Elimu ya Juu – Zanzibar
TTCIH tumepata fursa ya kushiriki kwenye Maonesho ya Saba (7) ya Wiki ya Elimu ya Juu yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja, Zanzibar. Tumepata heshima ya kutembelewa na Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Shaaban Ali Othman – Kaimu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Shaaban Ali Othman ameipongeza TTCIH Ifakara kwa […]

