Kuongezwa kwa Muda wa Dirisha la Kuhamia Mwaka wa Masomo 2026/2027
Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) inawatangazia umma kwamba sasa imeongeza muda dirisha la uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea (CONTINUING STUDENTS) limefunguliwa kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu Course Item: Description Course Level NTA Level 6 Mode of Study Full Time Durations 3…


