Kufunguliwa kwa Dirisha la Kuhamia

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health)  inawatangazia umma kwamba sasa dirisha la uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea (CONTINUING STUDENTS) limefunguliwa kwa mwaka wa masomo 2026/2027 kwa kozi zifuatazo;

Stashahada ya Utabibu

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,700,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click to Apply for Transfer.

Stashahada ya Ufamasia

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,200,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click to Apply for Transfer.

Stashahada ya Optometria

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,400,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click to Apply for Transfer.

TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo kina mazingira tulivu na mazuri kwa kujifunza ikiwa pamoja na wakufunzi waliobobea katika fani za afya na tafiti, hospitali ya kujifunzia kwa vitendo, mtandao wa uhakika wa kupata nyenzo za kujifunzia  kupitia Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa unaosimamiwa na Wizara ya Afya kupitia kituo cha elimu kwa njia ya masafa (CENTRE FOR DISTANCE EDUCATION) – (National eLearning Platform for Health).

Msaada Dawati la Udahili

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na dawati la udahili kwa kupiga simu namba 0781 845 374 au 0718 552 164, au tutumie barua pepe: info@ttcih.ac.tz

Mwisho wa Kupokea Maombi

Share:
Previous Post