Month: September 2026

Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili – Awamu ya Tatu

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa dirisha la “AWAMU YA TATU” kwa mwaka wa masomo 2025/26 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu, Stashahada ya Ufamasia & Stashahada ya Optometria. […]
Read more

Matokeo ya Udahili – Awamu ya Pili

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Pili ya udahili yametoka. Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina […]
Read more