Matokeo ya Udahili – Awamu ya Kwanza

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Kwanza ya udahili yametoka.

Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina kupitia viunganishi vilivyo hapa chini, kulingana na kozi walizoomba. Aidha, waombaji waliochaguliwa watapokea maelekezo ya kujiunga na chuo kupitia namba ya simu waliyotumia wakati wa kutuma maombi ya udahili.

Course Name Majina ya Waliochaguliwa
Diploma in Optometry Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa
Diploma in Clinical Medicine Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa
Diploma in Pharmaceutical Sciences Bofya hapa kupakua majina ya waliochaguliwa

Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na Dawati la Udahili. 0718 552 164 & 0781 845 374

Share:
Previous Post