KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA KUHAMIA

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa dirisha la uhamisho kwa wanafunzi wanaoendelea (CONTINUING STUDENTS) limefunguliwa kwa mwaka wa masomo 2025/2026 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu, Stashahada ya Ufamasia & Stashahada ya Optometria. TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo kina mazingira tulivu na mazuri kwa kujifunza ikiwa pamoja na wakufunzi waliobobea katika fani za afya na tafiti, hospitali ya kujifunzia kwa vitendo, mtandao wa uhakika, na kutoa mafunzo kupitia Mfumo wa Mafunzo kwa Njia ya Masafa unaosimamiwa na Wizara ya Afya (National eLearning Platform for Health).

Stashahada ya Utabibu

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,700,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click Here to Apply.

Stashahada ya Ufamasia

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,200,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click Here to Apply.

Stashahada ya Optometria

Course Item: Description
Course Level NTA Level 6
Mode of Study Full Time
Durations 3 Years (6 Semesters)
Sifa kwa Waombaji Mwanafunzi ataruhusiwa kuhama chuo kimoja kwenda kingine chenye kozi inayofanana, Mwanafunzi ambaye hajafaulu au kuwa na mtihani wa marudio hahusiki na uhamisho huu na Uhamisho utakubalika pale tu chuo unachotoka na unachotaka kuhamia vimeridhia.
Course Fee Local Fee:1,400,000/=
Applications All applications are ONLINE. Click Here to Apply.

Msaada Dawati la Udahili

Kwa maelezo zaidi, wasiliana na dawati la udahili kwa kupiga simu namba 0781 845 374 au 0718 552 164, au tutumie barua pepe: info@ttcih.ac.tz

Mwisho wa Kupokea Maombi

Share:
Previous Post
Newer Post