News & Events

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2022/2023

Udahili Mwaka wa Masomo 2022/23 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health, (TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2022/2023. TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTVET kwa namba HAS/003, Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo Stashahada ya […]
Read more

Nafasi za Kujiunga na Chuo kwa Mwaka wa Masomo 2021/2022

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzanian Training Centre for International Health (TTCIH) anawatangazia umma nafasi za kujiunga na chuo kwa mwaka wa masomo 2021/2022 TTCIH ni Taasisi ya mafunzo ya Afya Ifakara iliyosajiliwa na NACTE kwa namba HAS/003. Chuo kipo Ifakara mjini, Mkoani Morogoro. Chuo Kinatoa Kozi Zifuatazo Stashahada ya utabibu (Diploma in Clinical Medicine) […]
Read more