News & Updates

Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili – Awamu ya Tatu

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa dirisha la “AWAMU YA TATU” kwa mwaka wa masomo 2025/26 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu, Stashahada ya Ufamasia & Stashahada ya Optometria. […]
Read more

Matokeo ya Udahili – Awamu ya Pili

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Pili ya udahili yametoka. Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina […]
Read more

Joining Instuctions 2026/2027

Tangazo Muhimu kwa Wanafunzi  Waliochaguliwa Kujiunga na Chuo Mwaka wa Masomo 2026/27 Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo Ifakara, Mkoani Morogoro, inapenda kuutaarifu umma kuwa barua za maelekezo ya kujiunga na chuo kwa wanafunzi waliochaguliwa kwenye dirisha la kwanza (AWAMU YA KWANZA) zimetoka. Waombaji […]
Read more

Matokeo ya Udahili – Awamu ya Kwanza

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health – TTCIH), iliyopo Ifakara, Mkoa wa Morogoro, inapenda kuufahamisha umma kuwa majina ya waombaji waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za masomo katika Awamu ya Kwanza ya udahili yametoka. Waombaji wote walioomba nafasi za kujiunga na TTCIH wanashauriwa kupakua orodha ya majina […]
Read more

Consultancy to conduct Situational Analysis on Midwifery

BACKGROUND The Ministry of Health, in collaboration with partners United Nations Population Fund (UNFPA), intends to analyze a previously conducted midwifery bridging program to train nurses who had not been trained in midwifery in comparison with the current situation, which demonstrates the existence of a midwifery competence gap among the midwifery workforce at healthcare provision […]
Read more

Udahili Unaendelea 2026/2027

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2026/27 kwa kozi zifuatazo;  Stashahada ya Utabibu Stashahada ya Ufamasia Stashahada ya Optometria TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo […]
Read more

Consultancy for Situational Analysis on Obstetric Fistula

BACKGROUND Obstetric fistula is a preventable and treatable childbirth injury caused primarily by prolonged and obstructed labor in the absence of timely access to quality emergency obstetric and newborn care (EmONC). Women and girls living with obstetric fistula experience chronic incontinence, infections, infertility, stigma, and profound social and economic exclusion. The condition reflects broader systemic […]
Read more

Kufunguliwa kwa Dirisha la Udahili 2026/2027

Taasisi ya Mafunzo ya Afya ya Kimataifa Ifakara (Tanzanian Training Centre for International Health) – TTCIH iliyopo mjini Ifakara Mkoani Morogoro inawatangazia umma kwamba sasa inapokea maombi ya kujiunga na Chuo kwa mwaka wa masomo 2026/27 kwa kozi zifuatazo; Stashahada ya Utabibu Stashahada ya Ufamasia Stashahada ya Optometria TTCIH imesajisajiliwa NACTVET kwa namba HAS/003. Chuo […]
Read more